HIVI HILI KWELI LINAWEZEKANA AMA NIMEINGIA CHOO CHA KIKE KWA HUYU BINTI ?



Leo nimekutana na kali ya kufungua mwaka. Kwa muda mrefu tu tumekuwa tukiwasiliana na kuchat kiasi cha kuzoeana na msichana fulani hivi lakini hatukuwahi kuonana. Sasa tukapanga tuonane siku ya leo. 

Nikamshtua mtrotro mapema leo, nikamwambia aje pande za huku kwetu. Mida ya flani jioni nikawasili maeneo ya kituoni hapa, nikamkuta ananisubiri. Kumuona mtrotro mashallah.. Kiukweli mimi sijajaliwa sura yenye mvuto na kimuonekano pia ni wa kawaida tu. Nikaenda nae maeneo tukapiga story 2.. 3.. Then nikamuingiza majaribuni, nikamuomba tuzini.

Cha kushangaza akakubali wakati ndo kwanza tumeonana leo. Nikajilia vyangu kiulainiii, nikamsindikiza. Nikarudi home na viulizo..!! Huyu binti yuko sawa kweli au ndo wale wa buguruni..!!? Au ni kawaida tu, kwamba inawezekana sex at first sight.


TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini