MCHEZA MIELEKA MAARUFU DUNIANI BIG DADDY V AFARIKI DUNIA

Big Daddy V enzi za uhai wake.
Big Daddy V akiwa kazini enzi za uhai wake.
Mwanamieleka wa WWE, Nelson Frazier maarufu kama Mabel, Viscera na Big Daddy V amefariki dunia kwa ugonjwa wa moyo jana Jumanne. Big Daddy V amefariki akiwa na umri wa miaka 43.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini