BABY MADAHA: NIMEAMUA KUACHA KAZI YA MUZIKI NA FILAMU BAADA YA KUCHOSHWA NA SKENDO NA PRESHA



Baby Madaha Amehabrisha kuwa Ameamua kuacha fani ya mziki na ya Uigizaji kwa kila anachosema kuwa kuna maisha ya Presha, kila unalofanya linaandikwa mitandaoni na magazetini ,

Amesema kuwa kibao chake cha mwishi kinachoitwa MR DJ ndio kitakuwa cha mwisho yeye kufanya katika music...Amesema anatarajia kurudi katika fani aliyosomea Darasani....
Mweee Utaweza?

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini