50 CENT AJITOA SHADY RECORDS, INTERSCOPE, AFTERMATH, KUACHIA ALBUM MPYA MWEZI WA SITA MWAKA HUU



Rapper wa kundi la G Unit Curtis Jackson aka 50 Cent amejitoa rasmi Shady Records/Interscope
/Aftermath Entertainment zilizokuwa zikisimamia kazi zake kwa muda wa miaka kumi na mbili,msanii huyo amesaini dili mpya na kampuni Caroline/Capitol/UMG itakayohusika katika maandalizi ya kutoa album yake mpya ‘Animal Ambition’inayotarajiwa kutoka mwezi June 3.


50 Cent amewashukuru Dr. Dre na Eminem ambao ndio wanahusika na ‘Aftermath Entertainment na Shady Records’na kuelezea jinsi alivyokuwa na mafanikio makubwa na kupewa nafasi ya kuitumia vizuri katika muziki.

‘Nimepata mafaniko makubwa sana kwa Shady/Aftermath/Interscope na pia ningependa kutoa shukrani za dhati kwa Dr.Dre na Eminem kwa kunipa fursa hiyo,nimejifunza mengi sana kuanzia naanza muziki mpaka hapa nilipofika’Alisema 50 Cent.

‘have great success to date with Shady/Aftermath/Interscope and I’d like to thank Eminem and Dr. Dre for ginving me an incredible opportunity. I’leaned so much from them through the years. I am excited to enter this new era where I can Carry out my creativity vision.” Alieleza 50 Cent.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini