VIDEO YA EDWARD LOWASSA AKIITANGAZA SAFARI YENYE MATUMAINI KWA WATANZANIA, SAFARI AMBAYO KILA MTANZANIA ATASOMA BURE



Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli ametangaza kuanza safari ya kutimiza ndoto zake,Safari ambayo kila mtanzania atapata elimu bora  na  ya  bure...
Sikiliza hotuba yake ya mwaka mpya 2014 hapo chini.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini