Ama kwa hakika ustaa ni mzigo mzito tena wa mwiba ukiubeba utaumia, kauli
hii inakuja kwa wasanii hawa wawili yaani msanii wa muziki ajulikanae
kwa jina la timbulo na mwenzie wa movie ajulikanae kama vai wa ukweli
mara baada ya kupigwa picha wakifanya uchafu hadharani bila aibu wala
kujali maadili yetu.
Tukio hili lilitokea maeneo ya ilala usiku wa manane na kusababisha watu
wazima kushangaa na kutoamini kilichokuwa kikiendelea kwa vijana
hawa....Kiukweli wanatia aibu hayo mambo ni yakufanywa chumbani sio hapa hadharani alisikika akisema mwanadada aliyejitambulisha kwa jina la mama k.
Nae baba sonzo wa ilala aliyekuwa amekaa karibu na wawili hao
alinyanyuka na kuondoka huku akisema hawezi kuangalia ule uchafu kwani
nae ana watoto wa kike na wakubwa hivyo akiona ana hisia kama anamuona
mwanae.
Hebu tazama picha hapa
0 comments:
Post a Comment