Mwaka uliopita 2013 ulikuwa wa Mafanikio
Makubwa sana kwa Wasanii hasa wa Bongo Flava ..Wengine wameweza mpaka
kushika nyoyo za Mashabiki nje ya Tanzania ...Je unafikiri nani ni
Mwanamuziki Bora Katika Mwaka ulioisha jana 2013? Comment Jina la
mwanamuziki unae dhani ni Bora
0 comments:
Post a Comment