Imekuwa
kawaida kuwa scene za mapenzi kwenye uigizaji wa filamu za kibongo na
duniani kwa ujumla kufanywa vizuri kuliko zote. Ila sidhani kama kuna
mtu ambaye ni mpenzi wa bongo movie na hafahamu uigizaji wa Ray akiwa
katika kipengele hicho.
Ila
licha ya yote kama ulikuwa hujapata kufahamu basi hakika scene
hii ndio
iliyokuwa ya utata sana kuliko zote zilizofanywa na msanii
huyu Vicent Kigosi 'Ray'...!
Cheki picha hapo juu....
Cheki picha hapo juu....
UNAJUA NI MUVI
GANI HIYO!?
0 comments:
Post a Comment