Zena Mohamed wa Five Stars akiimba.
Wanamuziki wa Five Stars wakiimba.
Saidi Yusufu akichagiza maraha.
Ally Jumanne ‘Ally J’ akipapasa kinanda.
Sehemu ya mashabiki waliofurika Dar Live.
Mwimbaji Aisha Mohamed (katikati) akiwa na wanenguaji wa bendi hiyo.
Thabiti Abdul akiwa kwenye kinanda.
…Amenogewa na mapigo ya muziki.
Hummer Q (kushoto) akinengua.
Mwamvita Shaibu akiwaburudisha mashabiki.
Jumanne Ulaya na gitaa lake.
Baadhi ya mashabiki wakijimwaya.
BENDI ya muziki wa taarab ya Five Stars
jana ilifanya onyesho la nguvu la Mwaka Mpya 2014 ndani ya Ukumbi wa
Taifa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar ambapo
mashabiki walikolea kina aina ya maraha na kujirusha ipasavyo.
0 comments:
Post a Comment