warembo wakiwa wanazurura ufukweni.
Mlevi akiwa amezima mchana kweupee baada ya kunywa pombe kupita kiasi.
Mashost wakiwa wanazurura ufukweni.
Chegge na Y-p wakitoa burudani.
Y-p na Chegge wakishikana mikono na mashabiki.
Mashabiki wakishangilia shoo kali kutoka kwa wasanii.
Zuwena akimlilia mama yake baada ya kupotezana naye.
Mjasiria mali akiuza maboya pembezoni mwa fukwe.
Biashara ya Maboya ilishamiri ufukweni.
Wapenzi wakipanga jambo.
Mtoto Edwin akiwatafuta wazazi wake.
0 comments:
Post a Comment