Makamu wa Rais Dk.Mohamed Gharib Bilal akimlaki Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya Kuwasili nchini akitokea jijini New York Marekani ambapo alikwenda kwa ukaguzi wa kawaida wa afya yake.
Akiwa nachini
Marekani Rais Kikwete alialikwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bwana Ban ki
Moon nakufanya naye mazungumzo kuhusu ushiriki wa majeshi ya Tanzania katika
ulinzi wa Amani katika nchi mbalimbali.

Makamu
wa Rais Dk.Mohamed Gharib Bilal akizungumza na Rais Dkt.Jakaya Kikwete
Mrisho mara baada ya kumlaki muda mfupi baada ya Kuwasili nchini
akitokea jijini New York
Marekani ambapo alikwenda kwa ukaguzi wa kawaida wa afya yake nchini
Marekani.
0 comments:
Post a Comment